Ruthu 3:8 - Swahili Revised Union Version8 Na ikawa usiku wa manane yule mtu akashtuka, akajigeuza; na kumbe! Yupo mwanamke amelala miguuni pake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Usiku wa manane, Boazi aligutuka, akageuka, akashtuka kumkuta mwanamke amelala miguuni pake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Usiku wa manane, Boazi aligutuka, akageuka, akashtuka kumkuta mwanamke amelala miguuni pake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Usiku wa manane, Boazi aligutuka, akageuka, akashtuka kumkuta mwanamke amelala miguuni pake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Usiku wa manane, kitu kilimshtua Boazi, akajigeuza, akagundua yupo mwanamke amelala miguuni pake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Usiku wa manane, kitu kilimshtua Boazi, akajigeuza, akagundua yupo mwanamke amelala miguuni pake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Na ikawa usiku wa manane yule mtu akashtuka, akajigeuza; na kumbe! Yupo mwanamke amelala miguuni pake. Tazama sura |