Ruthu 3:6 - Swahili Revised Union Version6 Basi akashuka mpaka ugani; akafanya yote kama vile mkwewe alivyomwagiza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Kwa hiyo, Ruthu alikwenda mahali pa kupuria, akafanya jinsi mama mkwe wake alivyomwamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Kwa hiyo, Ruthu alikwenda mahali pa kupuria, akafanya jinsi mama mkwe wake alivyomwamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Kwa hiyo, Ruthu alikwenda mahali pa kupuria, akafanya jinsi mama mkwe wake alivyomwamuru. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Basi akashuka hadi kwenye sakafu ya kupuria, akafanya kila kitu mama mkwe wake alichomwambia kufanya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Basi akashuka mpaka kwenye sakafu ya kupuria, akafanya kila kitu mama mkwe wake alichomwambia kufanya. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Basi akashuka mpaka ugani; akafanya yote kama vile mkwewe alivyomwagiza. Tazama sura |