Ruthu 3:1 - Swahili Revised Union Version1 Kisha Naomi akamwambia mkwewe, Je! Mwanangu, si vizuri nikutafutie raha, ili upate mema? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Baada ya muda, Naomi mkwewe alimwambia Ruthu, “Ni wajibu wangu kukutafutia mume ili upate mema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Baada ya muda, Naomi mkwewe alimwambia Ruthu, “Ni wajibu wangu kukutafutia mume ili upate mema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Baada ya muda, Naomi mkwewe alimwambia Ruthu, “Ni wajibu wangu kukutafutia mume ili upate mema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Kisha Naomi akamwambia mkwewe, “Binti yangu, nitakutafutia pumziko ili upate mema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Kisha Naomi akamwambia mkwewe, “Binti yangu, je, nisingelikutafutia pumziko ambako utatunzika vyema? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Kisha Naomi akamwambia mkwewe, Je! Mwanangu, si vizuri nikutafutie raha, ili upate mema? Tazama sura |