Ruthu 2:5 - Swahili Revised Union Version5 Kisha Boazi akamwuliza mtumishi aliyewasimamia wavunaji, Na huyu je! Ni msichana wa nani? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kisha Boazi akamwuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule msichana ni nani?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kisha Boazi akamwuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule msichana ni nani?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kisha Boazi akamwuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule msichana ni nani?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Boazi akamuuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule mwanamwali ni wa nani?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Boazi akamuuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule mwanamwali ni wa nani?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Kisha Boazi akamwuliza mtumishi aliyewasimamia wavunaji, Na huyu je! Ni msichana wa nani? Tazama sura |