Ruthu 2:12 - Swahili Revised Union Version12 BWANA akujaze kwa kazi yako, nawe upewe thawabu kamili na BWANA, Mungu wa Israeli, ambaye umekuja kukimbilia chini ya mabawa yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mwenyezi-Mungu akujaze kwa yote uliyoyafanya. Mwenyezi-Mungu wa Israeli uliyemkimbilia akulinde chini ya mabawa yake, akupe thawabu kamilifu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mwenyezi-Mungu akujaze kwa yote uliyoyafanya. Mwenyezi-Mungu wa Israeli uliyemkimbilia akulinde chini ya mabawa yake, akupe thawabu kamilifu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mwenyezi-Mungu akujaze kwa yote uliyoyafanya. Mwenyezi-Mungu wa Israeli uliyemkimbilia akulinde chini ya mabawa yake, akupe thawabu kamilifu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mwenyezi Mungu na akulipe kwa yale uliyoyatenda. Ubarikiwe kwa wingi na Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, ambaye umekimbilia mabawani mwake.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 bwana na akulipe kwa yale uliyoyatenda. Ubarikiwe kwa wingi na bwana, Mungu wa Israeli, ambaye umekimbilia mabawani mwake.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 BWANA akujaze kwa kazi yako, nawe upewe thawabu kamili na BWANA, Mungu wa Israeli, ambaye umekuja kukimbilia chini ya mbawa zake. Tazama sura |