Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Ruthu 1:9 - Swahili Revised Union Version

9 BWANA na awajalie kuona raha kila mmoja nyumbani kwa mumewe. Kisha akawabusu; nao wakapaza sauti zao wakalia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Mwenyezi-Mungu awajalie, kila mmoja wenu apate mume na nyumba yake.” Kisha Naomi akawaaga kwa kuwabusu. Lakini wao walianza kulia kwa sauti

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Mwenyezi-Mungu awajalie, kila mmoja wenu apate mume na nyumba yake.” Kisha Naomi akawaaga kwa kuwabusu. Lakini wao walianza kulia kwa sauti

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Mwenyezi-Mungu awajalie, kila mmoja wenu apate mume na nyumba yake.” Kisha Naomi akawaaga kwa kuwabusu. Lakini wao walianza kulia kwa sauti

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Mwenyezi Mungu na amjalie kila mmoja wenu maisha mema nyumbani mwa mume mwingine.” Kisha akawabusu, nao wakalia kwa sauti kubwa,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 bwana na amjalie kila mmoja wenu maisha mema nyumbani kwa mume mwingine.” Kisha akawabusu, nao wakalia kwa sauti kubwa,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

9 BWANA na awajalie kuona raha kila mmoja nyumbani kwa mumewe. Kisha akawabusu; nao wakapaza sauti zao wakalia.

Tazama sura Nakili

Ruthu 1:9
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akakaribia akambusu. Naye akasikia harufu ya mavazi yake, akambariki akasema, Tazama, harufu ya mwanangu Ni kama harufu ya shamba alilolibariki Bwana.

Yakobo akambusu Raheli, akalia kwa sauti.

Wala hukuniacha niwabusu wanangu, na binti zangu; basi umetenda upumbavu.

Akawabusu ndugu zake wote, akalia nao, baada ya hayo, nduguze wakazungumza naye.

Wakalia sana wote, wakamwangukia Paulo shingoni, wakambusubusu,

Wakamwambia, La, sivyo; lakini tutarudi pamoja nawe kwa watu wako.

Kisha Naomi akawaambia wakweze wawili, Nendeni sasa mkarejee kila mmoja nyumbani kwa mamaye; BWANA na awatendee mema ninyi, kama ninyi mlivyowatendea mema hao waliofariki na mimi pia.

Kisha Naomi akamwambia mkwewe, Je! Mwanangu, si vizuri nikutafutie raha, ili upate mema?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo