Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Ruthu 1:7 - Swahili Revised Union Version

7 Basi akatoka pale alipokuwa akiishi, na wakweze wawili pamoja naye; wakashika njia ili kurudi mpaka nchi ya Yuda.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Akaondoka mahali pale alipoishi pamoja na wakwe zake, wakashika njia ya kurudi Yuda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Akaondoka mahali pale alipoishi pamoja na wakwe zake, wakashika njia ya kurudi Yuda.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Akaondoka mahali pale alipoishi pamoja na wakwe zake, wakashika njia ya kurudi Yuda.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Yeye na wakwe wake wawili wakaondoka pale walipokuwa wakiishi na kushika njia kurudi nchi ya Yuda.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Yeye na wakweze wawili wakaondoka pale walipokuwa wakiishi na kushika njia kurudi nchi ya Yuda.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Basi akatoka pale alipokuwa akiishi, na wakweze wawili pamoja naye; wakashika njia ili kurudi mpaka nchi ya Yuda.

Tazama sura Nakili




Ruthu 1:7
6 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa miaka saba ilipoisha, yule mwanamke akarudi kutoka nchi ya Wafilisti; akatokea amlilie mfalme kwa ajili ya nyumba yake na shamba lake.


Kisha Musa akaagana na mkwewe; naye akaenda zake, mpaka nchi yake mwenyewe.


Wakamwambia, La, sivyo; lakini tutarudi pamoja nawe kwa watu wako.


Nao wakapaza sauti zao, wakalia tena, na Orpa akambusu mkwewe, lakini Ruthu akaambatana naye.


Ndipo alipoondoka, yeye na wakweze, ili kurudi kutoka nchi ya Moabu; maana akiwa katika nchi ya Moabu alipata habari kuwa BWANA alikuwa amewajia watu wake na kuwapa chakula.


Kisha Naomi akawaambia wakweze wawili, Nendeni sasa mkarejee kila mmoja nyumbani kwa mamaye; BWANA na awatendee mema ninyi, kama ninyi mlivyowatendea mema hao waliofariki na mimi pia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo