Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Ruthu 1:21 - Swahili Revised Union Version

21 Mimi nilitoka nikiwa nimejaa, naye BWANA amenirudisha sina kitu, kwani kuniita Naomi, ikiwa BWANA ameshuhudia juu yangu, na Mwenyezi Mungu amenitesa?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Nilipoondoka hapa, nilikuwa na vitu vingi, lakini sasa Mwenyezi-Mungu amenirudisha mikono mitupu. Mbona mwaniita Naomi na hali Mwenyezi-Mungu ameniadhibu, naye Mungu Mwenye Nguvu amenitesa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Nilipoondoka hapa, nilikuwa na vitu vingi, lakini sasa Mwenyezi-Mungu amenirudisha mikono mitupu. Mbona mwaniita Naomi na hali Mwenyezi-Mungu ameniadhibu, naye Mungu Mwenye Nguvu amenitesa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Nilipoondoka hapa, nilikuwa na vitu vingi, lakini sasa Mwenyezi-Mungu amenirudisha mikono mitupu. Mbona mwaniita Naomi na hali Mwenyezi-Mungu ameniadhibu, naye Mungu Mwenye Nguvu amenitesa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Mimi niliondoka hali nimejaa, lakini Mwenyezi Mungu amenirudisha mtupu. Kwa nini kuniita Naomi? Mwenyezi Mungu amenitendea mambo machungu; Mwenyezi ameniletea msiba.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Mimi niliondoka hali nimejaa, lakini bwana amenirudisha mtupu. Kwa nini kuniita Naomi? bwana amenitendea mambo machungu; Mwenyezi ameniletea msiba.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

21 Mimi nilitoka nikiwa nimejaa, naye BWANA amenirudisha sina kitu, kwani kuniita Naomi, ikiwa BWANA ameshuhudia juu yangu, na Mwenyezi Mungu amenitesa?

Tazama sura Nakili

Ruthu 1:21
8 Marejeleo ya Msalaba  

akasema, Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu nikiwa uchi, nami nitarudi tena huko uchi vile vile; BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.

Wewe unafanya upya ushahidi wako juu yangu, Na kuongeza kisirani chako juu yangu; Ukileta jeshi baada ya jeshi juu yangu.

Kwani umeandika maneno ya uchungu juu yangu, Na kunirithisha maovu ya ujana wangu;

Umenishika sana, na kuwa ushahidi juu yangu; Na kukonda kwangu kwaniinukia, kwanishuhudia usoni pangu.

Kwani ameilegeza kamba yake, na kunitesa, Wala hawajizuii tena mbele yangu.

Nami nitawakaribieni ili kuhukumu; nami sitasita kutoa ushahidi juu ya wachawi; na juu ya wazinzi, na juu ya waapao kwa uongo; juu ya wamwoneao mwajiriwa, kwa ajili ya mshahara wake, wamwoneao mjane na yatima, na kumpotosha mgeni asipate haki yake, wala hawaniogopi mimi, asema BWANA wa majeshi.

je! Mngesubiri hata watakapokuwa watu wazima? Mngejizuia msiwe na waume? La, sivyo, wanangu; maana ni vigumu kwangu kuliko kwenu, kwa sababu mkono wa BWANA umetoka juu yangu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo