Obadia 1:13 - Swahili Revised Union Version13 Usiingie katika lango la watu wangu, siku ya msiba wao; naam, usiyatazame mateso yao, siku ya msiba wao; wala usitie mikono yako juu ya mali zao, siku ya msiba wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Msingeliingia katika mji wa watu wangu, siku walipokumbwa na maafa; msingelipora mali zao, siku hiyo ya maafa yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Msingeliingia katika mji wa watu wangu, siku walipokumbwa na maafa; msingelipora mali zao, siku hiyo ya maafa yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Msingeliingia katika mji wa watu wangu, siku walipokumbwa na maafa; msingelipora mali zao, siku hiyo ya maafa yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Usingeingia katika malango ya watu wangu katika siku ya maafa yao, wala kuwadharau katika janga lao katika siku ya maafa yao, wala kunyang’anya mali yao katika siku ya maafa yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Usingeingia katika malango ya watu wangu katika siku ya maafa yao, wala kuwadharau katika janga lao katika siku ya maafa yao, wala kunyang’anya mali zao katika siku ya maafa yao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Usiingie katika lango la watu wangu, siku ya msiba wao; naam, usiyatazame mateso yao, siku ya msiba wao; wala usitie mikono yako juu ya mali zao, siku ya msiba wao. Tazama sura |