Nehemia 9:3 - Swahili Revised Union Version3 Basi wakasimama mahali pao, wakasoma katika kitabu cha Torati ya BWANA, Mungu wao, muda wa robo ya siku; na robo nyingine wakaungama na kumwabudu BWANA, Mungu wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Kwa muda wa kama masaa matatu, walisimama huku sheria ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, inasomwa. Na kwa masaa matatu yaliyofuata, walikuwa wakitubu na kumwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Kwa muda wa kama masaa matatu, walisimama huku sheria ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, inasomwa. Na kwa masaa matatu yaliyofuata, walikuwa wakitubu na kumwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Kwa muda wa kama masaa matatu, walisimama huku sheria ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, inasomwa. Na kwa masaa matatu yaliyofuata, walikuwa wakitubu na kumwabudu Mwenyezi-Mungu, Mungu wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Wakasimama pale walipokuwa, wakasoma katika kile Kitabu cha Torati ya Mwenyezi Mungu, Mungu wao, kwa muda wa robo siku, na wakatumia robo nyingine kwa kuungama dhambi na kumwabudu Mwenyezi Mungu, Mungu wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Wakasimama pale walipokuwa, wakasoma kutoka kwenye kile Kitabu cha Torati ya bwana Mwenyezi Mungu wao kwa muda wa robo siku, na wakatumia robo nyingine kwa kuungama dhambi na kumwabudu bwana Mwenyezi Mungu wao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Basi wakasimama mahali pao, wakasoma katika kitabu cha Torati ya BWANA, Mungu wao, muda wa robo ya siku; na robo nyingine wakaungama na kumwabudu BWANA, Mungu wao. Tazama sura |