Nehemia 5:1 - Swahili Revised Union Version1 Ndipo kukatokea kilio kikuu cha watu, na wake zao, juu ya ndugu zao Wayahudi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Baada ya muda kulitokea malalamiko miongoni mwa watu, wanaume kwa wanawake, wakiwalalamikia ndugu zao Wayahudi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Baada ya muda kulitokea malalamiko miongoni mwa watu, wanaume kwa wanawake, wakiwalalamikia ndugu zao Wayahudi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Baada ya muda kulitokea malalamiko miongoni mwa watu, wanaume kwa wanawake, wakiwalalamikia ndugu zao Wayahudi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Wakati huu wanaume na wake zao wakalia kilio kikuu dhidi ya ndugu zao Wayahudi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Wakati huu wanaume na wake zao wakalia kilio kikuu dhidi ya ndugu zao Wayahudi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Ndipo kukatokea kilio kikuu cha watu, na wake zao, juu ya ndugu zao Wayahudi. Tazama sura |