Nehemia 4:15 - Swahili Revised Union Version15 Kisha ikawa, adui zetu waliposikia ya kuwa tumekwisha kupata habari, na ya kuwa Mungu amelibatilisha shauri lao, ndipo sisi sote tukarudi ukutani, kila mtu kwa kazi yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Maadui waliposikia kwamba njama zao tumezigundua na kuwa Mungu amevuruga njama hizo, ndipo sisi sote tulipourudia ukuta, kila mmoja akaendelea na kazi yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Maadui waliposikia kwamba njama zao tumezigundua na kuwa Mungu amevuruga njama hizo, ndipo sisi sote tulipourudia ukuta, kila mmoja akaendelea na kazi yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Maadui waliposikia kwamba njama zao tumezigundua na kuwa Mungu amevuruga njama hizo, ndipo sisi sote tulipourudia ukuta, kila mmoja akaendelea na kazi yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Adui zetu waliposikia kwamba tumetambua hila yao, na kwamba Mungu ameivuruga hila hiyo, sote tulirudi kwenye ukuta, kila mmoja kwenye kazi yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Adui zetu waliposikia kwamba tumetambua hila yao, na kwamba Mungu amevuruga shauri lao, sote tulirudi kwenye ukuta, kila mmoja kwenye kazi yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Kisha ikawa, adui zetu waliposikia ya kuwa tumekwisha kupata habari, na ya kuwa Mungu amelibatilisha shauri lao, ndipo sisi sote tukarudi ukutani, kila mtu kwa kazi yake. Tazama sura |