Nehemia 4:11 - Swahili Revised Union Version11 Nao adui zetu wakasema, Hawatajua wala kuona, hadi tutakapokuja kati yao, na kuwaua, na kuikomesha kazi hiyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Nao adui zetu wakawa wanasema, “Hawataweza kujua wala kuona, hadi tutakapofika kwao na kuwaua na kusimamisha kazi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Nao adui zetu wakawa wanasema, “Hawataweza kujua wala kuona, hadi tutakapofika kwao na kuwaua na kusimamisha kazi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Nao adui zetu wakawa wanasema, “Hawataweza kujua wala kuona, hadi tutakapofika kwao na kuwaua na kusimamisha kazi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Pia adui zetu walisema, “Kabla hawajajua au kutuona, tutakuwa pale kati yao, na tutawaua na kuikomesha hiyo kazi.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Pia adui zetu walisema, “Kabla hawajajua au kutuona, tutakuwa palepale katikati yao, na tutawaua na kuikomesha hiyo kazi.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Nao adui zetu wakasema, Hawatajua wala kuona, hadi tutakapokuja kati yao, na kuwaua, na kuikomesha kazi hiyo. Tazama sura |