Nehemia 3:32 - Swahili Revised Union Version32 Na kati ya chumba cha juu cha pembeni na lango la kondoo wakajenga mafundi wa dhahabu na wafanya biashara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Sehemu ya mwisho kutoka chumba kwenye pembe hadi Lango la Kondoo ilijengwa upya na wafua dhahabu na wafanyabiashara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Sehemu ya mwisho kutoka chumba kwenye pembe hadi Lango la Kondoo ilijengwa upya na wafua dhahabu na wafanyabiashara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Sehemu ya mwisho kutoka chumba kwenye pembe hadi Lango la Kondoo ilijengwa upya na wafua dhahabu na wafanyabiashara. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Masonara na wafanyabiashara walifanya ukarabati kutoka chumba kilichoko juu ya pembe hadi Lango la Kondoo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Masonara na wafanyabiashara walifanya ukarabati kutoka chumba kilichoko juu ya pembe hadi Lango la Kondoo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI32 Na kati ya chumba cha juu cha pembeni na lango la kondoo wakajenga mafundi wa dhahabu na wafanya biashara. Tazama sura |