Nehemia 3:22 - Swahili Revised Union Version22 Na baada yake wakafanyiza makuhani, watu wa Uwandani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Sehemu inayofuata ilijengwa upya na makuhani waliokaa katika sehemu tambarare. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Sehemu inayofuata ilijengwa upya na makuhani waliokaa katika sehemu tambarare. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Sehemu inayofuata ilijengwa upya na makuhani waliokaa katika sehemu tambarare. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Baada yake, ukarabati ulifanywa na makuhani waliotoka eneo lililouzunguka mji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Baada yake, ukarabati ulifanywa na makuhani waliotoka eneo lililouzunguka mji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Na baada yake wakafanyiza makuhani, watu wa Uwandani. Tazama sura |