Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Nehemia 12:46 - Swahili Revised Union Version

46 Kwa kuwa siku za Daudi zamani, Asafu alikuwa mkuu wa waimbaji, na juu ya nyimbo za sifa na shukrani kwa Mungu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

46 Tangu wakati wa mfalme Daudi na Asafu kulikuweko kiongozi wa waimbaji, na kulikuwako nyimbo za sifa na shukrani kwa Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

46 Tangu wakati wa mfalme Daudi na Asafu kulikuweko kiongozi wa waimbaji, na kulikuwako nyimbo za sifa na shukrani kwa Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

46 Tangu wakati wa mfalme Daudi na Asafu kulikuweko kiongozi wa waimbaji, na kulikuwako nyimbo za sifa na shukrani kwa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

46 Muda mrefu uliopita, katika siku za Daudi na Asafu, kulikuwa na viongozi wa waimbaji na wa nyimbo za sifa na za kumshukuru Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

46 Muda mrefu uliopita, katika siku za Daudi na Asafu, walikuwepo viongozi wa waimbaji na wa nyimbo za sifa na za kumshukuru Mungu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

46 Kwa kuwa siku za Daudi zamani, Asafu alikuwa mkuu wa waimbaji, na juu ya nyimbo za sifa na shukrani kwa Mungu.

Tazama sura Nakili

Nehemia 12:46
7 Marejeleo ya Msalaba  

Tena hawa ndio waimbaji, wakuu wa koo za baba zao katika Walawi, ambao walikaa vyumbani, kisha walikuwa hawana kazi nyingine; kwa kuwa walifanya kazi yao mchana na usiku.

Tena Hezekia mfalme na wakuu wakawaamuru Walawi, wamwimbie BWANA sifa kwa maneno ya Daudi, na ya Asafu mwonaji. Wakaimba sifa kwa furaha, wakainamisha vichwa, wakaabudu.

na Matania, mwana wa Mika, mwana wa Zikri, mwana wa Asafu, mkuu wa kuanzisha shukrani katika sala, na Bakbukia, wa pili wake miongoni mwa nduguze; na Obadia, mwana wa Shemaya, mwana wa Galali, mwana wa Yeduthuni.

Twawezaje kuimba wimbo wa BWANA Katika nchi ya ugeni?

Hakika Mungu ni mwema kwa Israeli, Kwa hao walio safi mioyo yao.

Ee Mungu, usistarehe, Ee Mungu, usinyamae, wala usitulie.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo