Nehemia 11:23 - Swahili Revised Union Version23 Kwa kuwa palikuwa na amri ya mfalme juu yao, na agizo la hakika walilowekewa waimbaji, kama ilivyohusika na kila siku. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Mfalme alikuwa ametoa amri kuhusu zamu zao na mahitaji yao ya kila siku. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Mfalme alikuwa ametoa amri kuhusu zamu zao na mahitaji yao ya kila siku. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Mfalme alikuwa ametoa amri kuhusu zamu zao na mahitaji yao ya kila siku. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Waimbaji walikuwa chini ya amri za mfalme, ambazo pia ziliratibu shughuli zao za kila siku. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Waimbaji walikuwa chini ya amri za mfalme, ambazo pia ziliratibu shughuli zao za kila siku. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Kwa kuwa palikuwa na amri ya mfalme juu yao, na agizo la hakika walilowekewa waimbaji, kama ilivyohusika na kila siku. Tazama sura |