Nehemia 11:14 - Swahili Revised Union Version14 na ndugu zao, wanaume mashujaa, watu mia moja na ishirini na wanane; na msimamizi wao alikuwa Zabdieli, mmojawapo wa hao wakuu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 pamoja na ndugu zao; wote wakiwa 128, watu mashujaa. Na mkuu wao alikuwa Zabdieli mwana wa Hagedolimu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 pamoja na ndugu zao; wote wakiwa 128, watu mashujaa. Na mkuu wao alikuwa Zabdieli mwana wa Hagedolimu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 pamoja na ndugu zao; wote wakiwa 128, watu mashujaa. Na mkuu wao alikuwa Zabdieli mwana wa Hagedolimu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 na wenzao waliokuwa wanaume wenye uwezo: mia moja ishirini na nane (128). Afisa wao mkuu alikuwa Zabdieli mwana wa Hagedolimu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 na wenzao waliokuwa wenye uwezo: watu 128. Afisa wao mkuu alikuwa Zabdieli mwana wa Hagedolimu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 na ndugu zao, wanaume mashujaa, watu mia moja na ishirini na wanane; na msimamizi wao alikuwa Zabdieli, mmojawapo wa hao wakuu. Tazama sura |