Nehemia 10:30 - Swahili Revised Union Version30 wala tusiwaoze watu wa nchi binti zetu, wala kuwatwalia wana wetu binti zao; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Binti zetu hatutawaoza kwa watu wa nchi hii na wala wana wetu hawataoa kwao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Binti zetu hatutawaoza kwa watu wa nchi hii na wala wana wetu hawataoa kwao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Binti zetu hatutawaoza kwa watu wa nchi hii na wala wana wetu hawataoa kwao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 “Tunaahidi kutowaoza binti zetu kwa watu wanaotuzunguka, wala kuwaoza wana wetu binti zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 “Tunaahidi kutowaoza binti zetu kwa watu wanaotuzunguka, wala kuwaoza wana wetu binti zao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 wala tusiwaoze watu wa nchi binti zetu, wala kuwatwalia wana wetu binti zao; Tazama sura |