Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Nehemia 1:8 - Swahili Revised Union Version

8 Nakuomba, likumbuke neno lile ulilomwamuru Musa, mtumishi wako, ukisema, Mkikosa, nitawatawanya kati ya mataifa;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Kumbuka sasa lile ulilomwambia mtumishi wako Mose, uliposema, ‘Kama hamtakuwa waaminifu, nitawatawanya miongoni mwa mataifa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Kumbuka sasa lile ulilomwambia mtumishi wako Mose, uliposema, ‘Kama hamtakuwa waaminifu, nitawatawanya miongoni mwa mataifa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Kumbuka sasa lile ulilomwambia mtumishi wako Mose, uliposema, ‘Kama hamtakuwa waaminifu, nitawatawanya miongoni mwa mataifa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 “Kumbuka agizo ulilompa Musa mtumishi wako, ukisema, ‘Mkikosa uaminifu, nitawatawanya miongoni mwa mataifa,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 “Kumbuka agizo ulilompa Musa mtumishi wako, ukisema, ‘Kama mkikosa uaminifu, nitawatawanya miongoni mwa mataifa,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Nakuomba, likumbuke neno lile ulilomwamuru Musa, mtumishi wako, ukisema, Mkikosa, nitawatawanya kati ya mataifa;

Tazama sura Nakili

Nehemia 1:8
10 Marejeleo ya Msalaba  

Likumbuke neno ulilomwambia mtumishi wako, Ambalo kwalo umenipa tumaini.

Nami nitakutawanya kati ya mataifa, na kukutapanya kati ya nchi mbalimbali; nami nitauteketeza uchafu wako, ili ukutoke.

Kwa sababu hiyo baba za watu watawala wana wao kati yako, nao wana watawala baba zao; nami nitafanya hukumu ndani yako, na hao wote waliosalia kwako nitawatawanya kwa pepo zote.

Lakini nitasaza mabaki; maana mtakuwa na baadhi ya watu watakaoukimbia upanga kati ya mataifa, mtakapokuwa mmetawanyika katika nchi za watu.

Ili kuwatendea rehema baba zetu, Na kulikumbuka agano lake takatifu;

BWANA atakutawanya katika mataifa yote, tokea ncha hii ya dunia hata ncha hii ya dunia; nawe huko utatumikia miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako, nayo ni miti na mawe.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo