Mwanzo 9:4 - Swahili Revised Union Version4 Bali nyama pamoja na uhai, yaani, damu yake, msile. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Lakini msile nyama yenye damu, kwani uhai uko katika damu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Lakini msile nyama yenye damu, kwani uhai uko katika damu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Lakini msile nyama yenye damu, kwani uhai uko katika damu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 “Lakini kamwe msile nyama ambayo bado ina damu, kwa maana damu ni uhai. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 “Lakini kamwe msile nyama ambayo bado ina damu ya uhai wake, kwa maana damu ni uhai. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Bali nyama pamoja na uhai, yaani, damu yake, msile. Tazama sura |