Mwanzo 9:26 - Swahili Revised Union Version26 Akasema, Na atukuzwe BWANA Mungu wa Shemu; Na Kanaani awe mtumwa wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Tena akasema, “Shemu na abarikiwe na Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu! Kanaani na awe mtumwa wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Tena akasema, “Shemu na abarikiwe na Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu! Kanaani na awe mtumwa wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Tena akasema, “Shemu na abarikiwe na Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu! Kanaani na awe mtumwa wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Pia akasema, “Atukuzwe Mwenyezi Mungu, Mungu wa Shemu! Kanaani na awe mtumwa wa Shemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Pia akasema, “Abarikiwe bwana, Mungu wa Shemu! Kanaani na awe mtumwa wa Shemu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Akasema, Na atukuzwe BWANA Mungu wa Shemu; Na Kanaani awe mtumwa wake. Tazama sura |