Mwanzo 9:24 - Swahili Revised Union Version24 Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Noa alipolevuka na kujua alivyotendewa na mwanawe mdogo, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Noa alipolevuka na kujua alivyotendewa na mwanawe mdogo, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Noa alipolevuka na kujua alivyotendewa na mwanawe mdogo, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Nuhu alipolevuka na kujua lile mwanawe mdogo alilomtendea, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Nuhu alipolevuka kutoka kwenye mvinyo wake na kujua lile ambalo mwanawe mdogo kuliko wote alilokuwa amemtendea, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea. Tazama sura |