Mwanzo 8:18 - Swahili Revised Union Version18 Basi Nuhu akatoka, yeye, na wanawe, na mkewe, na wake za wanawe pamoja naye; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Basi, Noa akatoka katika safina pamoja na wanawe na mkewe pamoja na wake za wanawe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Basi, Noa akatoka katika safina pamoja na wanawe na mkewe pamoja na wake za wanawe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Basi, Noa akatoka katika safina pamoja na wanawe na mkewe pamoja na wake za wanawe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kwa hiyo Nuhu akatoka nje pamoja na mkewe, na wanawe na wake zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kwa hiyo Nuhu akatoka nje pamoja na mkewe, wanawe na wake zao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Basi Nuhu akatoka, yeye, na wanawe, na mkewe, na wake za wanawe pamoja naye; Tazama sura |