Mwanzo 6:12 - Swahili Revised Union Version12 Mungu akaiona dunia, na tazama, imeharibika; maana kila mtu duniani amepotoka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Naam, Mungu aliiangalia dunia, akaona kuwa imeharibika kabisa, kwa maana kila mtu alifuata njia yake mbovu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Naam, Mungu aliiangalia dunia, akaona kuwa imeharibika kabisa, kwa maana kila mtu alifuata njia yake mbovu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Naam, Mungu aliiangalia dunia, akaona kuwa imeharibika kabisa, kwa maana kila mtu alifuata njia yake mbovu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mungu akaona jinsi dunia ilivyoharibika, kwa maana watu wote duniani walikuwa wameharibu njia zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Mungu akaona jinsi dunia ilivyoharibika, kwa maana watu wote duniani walikuwa wameharibu njia zao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Mungu akaiona dunia, na tazama, imeharibika; maana kila mtu duniani amepotoka. Tazama sura |