Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 50:8 - Swahili Revised Union Version

8 Na nyumba yote ya Yusufu, na ndugu zake, na nyumba ya baba yake; wakawaacha watoto wao tu, na kondoo wao, na ng'ombe wao, katika nchi ya Gosheni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Hali kadhalika, Yosefu alifuatana na jamaa yake yote, ndugu zake na jamaa yote ya baba yake Yakobo. Katika eneo la Gosheni walibaki watoto wao tu pamoja na kondoo, mbuzi na ng'ombe wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Hali kadhalika, Yosefu alifuatana na jamaa yake yote, ndugu zake na jamaa yote ya baba yake Yakobo. Katika eneo la Gosheni walibaki watoto wao tu pamoja na kondoo, mbuzi na ng'ombe wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Hali kadhalika, Yosefu alifuatana na jamaa yake yote, ndugu zake na jamaa yote ya baba yake Yakobo. Katika eneo la Gosheni walibaki watoto wao tu pamoja na kondoo, mbuzi na ng'ombe wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Hawa ni mbali na watu wote wa nyumbani mwa Yusufu, na ndugu zake, na wale wote wa nyumbani mwa baba yake. Ni watoto wao, makundi yao ya kondoo, mbuzi na ng’ombe tu waliobakia katika nchi ya Gosheni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Hawa ni mbali na watu wote wa nyumbani kwa Yusufu, na ndugu zake, na wale wote wa nyumbani mwa baba yake. Ni watoto wao, makundi yao ya kondoo, mbuzi na ng’ombe tu waliobakia katika nchi ya Gosheni.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Na nyumba yote ya Yusufu, na ndugu zake, na nyumba ya baba yake; wakawaacha watoto wao tu, na kondoo wao, na ng'ombe wao, katika nchi ya Gosheni.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 50:8
5 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Yusufu akaenda kumzika baba yake, na watumishi wote wa Farao wakaenda pamoja naye, wazee wa nyumbani mwake, na wazee wote wa nchi ya Misri.

Kisha wakaenda pamoja naye wapanda farasi, na magari; wakawa jeshi kubwa sana.

Makundi yetu pia watakwenda pamoja nasi; hautasalia nyuma hata ukwato mmoja; kwa maana inampasa kutwaa katika hao tupate kumtumikia BWANA, Mungu wetu; nasi hatujui, hata tutakapofika huko, ni kitu gani ambacho kwa hicho inatupasa kumtumikia BWANA.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo