Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 50:18 - Swahili Revised Union Version

18 Ndugu zake wakaenda tena, wakamwangukia miguu, wakasema, Tazama, sisi tu watumishi wako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Kisha ndugu zake wakamjia, wakainama mpaka chini mbele yake, wakasema, “Tazama, sisi tu watumishi wako.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Kisha ndugu zake wakamjia, wakainama mpaka chini mbele yake, wakasema, “Tazama, sisi tu watumishi wako.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Kisha ndugu zake wakamjia, wakainama mpaka chini mbele yake, wakasema, “Tazama, sisi tu watumishi wako.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Ndipo ndugu zake wakaja na kujitupa chini mbele yake. Wakasema, “Sisi ni watumwa wako.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Ndipo ndugu zake wakaja na kujitupa chini mbele yake. Wakasema, “Sisi ni watumwa wako.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

18 Ndugu zake wakaenda tena, wakamwangukia miguuni, wakasema, Tazama, sisi tu watumishi wako.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 50:18
8 Marejeleo ya Msalaba  

Mataifa na wakutumikie Na makabila wakusujudie, Uwe bwana wa ndugu zako, Na wana wa mama yako na wakusujudie. Alaaniwe yeyote yule atakayekulaani, Na abarikiwe yeyote yule atakayekubariki.


Akampandisha katika gari lake la pili alilokuwa nalo. Na watu wakapiga kelele mbele yake, Pigeni magoti. Hivyo akamweka juu ya nchi yote ya Misri.


Naye Yusufu alikuwa ni mkuu juu ya nchi, ndiye aliyewauzia watu wote wa nchi. Nao ndugu zake Yusufu wakaja, wakainama kifudifudi mbele yake.


Akaja Yuda na ndugu zake nyumbani kwa Yusufu, naye mwenyewe alikuwamo, nao wakamwangukia kifudifudi.


Yusufu akawaambia ndugu zake, Mimi ndimi Yusufu; baba yangu angali hai bado? Wala ndugu zake hawakuweza kumjibu, maana waliingiwa na hofu mbele yake.


Mwambieni Yusufu hivi, Naomba uwasamehe ndugu zako kosa lao na dhambi yao, maana walikutenda mabaya; sasa twakuomba utusamehe kosa la watumishi wa Mungu wa baba yako. Yusufu akalia waliposema naye.


Yusufu akawaambia, Msiogope, je! Mimi ni badala ya Mungu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo