Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 49:17 - Swahili Revised Union Version

17 Dani atakuwa nyoka barabarani, Bafe katika njia, Aumaye visigino vya farasi, Na apandaye akaanguka chali.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 “Atakuwa kama nyoka njiani, nyoka mwenye sumu kando ya njia, aumaye visigino vya farasi, naye mpandafarasi huanguka chali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 “Atakuwa kama nyoka njiani, nyoka mwenye sumu kando ya njia, aumaye visigino vya farasi, naye mpandafarasi huanguka chali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Atakuwa kama nyoka njiani, nyoka mwenye sumu kando ya njia, aumaye visigino vya farasi, naye mpandafarasi huanguka chali.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Dani atakuwa nyoka kando ya barabara, nyoka mwenye sumu kando ya njia, yule aumaye visigino vya farasi ili yule ampandaye aanguke chali.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Dani atakuwa nyoka kando ya barabara, nyoka mwenye sumu kando ya njia, yule aumaye visigino vya farasi ili yule ampandaye aanguke chali.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Dani atakuwa nyoka barabarani, Bafe katika njia, Aumaye visigino vya farasi, Hata apandaye akaanguka chali.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 49:17
8 Marejeleo ya Msalaba  

Dani atahukumu watu wake, Kama moja ya makabila ya Israeli;

Wokovu wako nimeungoja, Ee BWANA.

Na wa Wadani, watu hodari wa kupanga vita, elfu ishirini na nane na mia sita.

Mwisho wake huuma kama nyoka; Huchoma kama fira.

Nyoka akiuma kabla hajachezeshwa, Basi hakuna faida ya mchezeshaji.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo