Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 49:12 - Swahili Revised Union Version

12 Macho yake yatakuwa mekundu kwa mvinyo, Na meno yake yatakuwa meupe kwa maziwa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 “Macho yake ni mekundu kwa divai, meno yake ni meupe kwa maziwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 “Macho yake ni mekundu kwa divai, meno yake ni meupe kwa maziwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Macho yake ni mekundu kwa divai, meno yake ni meupe kwa maziwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Macho yake yatakuwa mekundu kwa divai, meno yake yatakuwa meupe kwa maziwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Macho yake yatakuwa mekundu kwa divai, meno yake yatakuwa meupe kwa maziwa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 Macho yake yatakuwa mekundu kwa mvinyo, Na meno yake yatakuwa meupe kwa maziwa.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 49:12
3 Marejeleo ya Msalaba  

Atafunga punda wake katika mzabibu, Na mwanapunda wake katika mzabibu mzuri. Amefua nguo zake kwa mvinyo, Na mavazi yake kwa damu ya zabibu.

Zabuloni atakaa pwani ya bahari, Naye atakuwa kama pwani za kuegesha merikebu, Na mpaka wake utakuwa kando ya Sidoni.

Ni nani apigaye, Yowe? Ni nani aliaye, Ole? Ni nani mwenye ugomvi? Ni nani mwenye mguno? Ni nani aliye na majeraha yasiyo na sababu? Ni nani aliye na macho mekundu?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo