Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 48:8 - Swahili Revised Union Version

8 Israeli akawaona wana wa Yusufu, akasema, Ni nani hawa?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Israeli alipowaona wana wa Yosefu, akamwuliza, “Ni akina nani hawa?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Israeli alipowaona wana wa Yosefu, akamwuliza, “Ni akina nani hawa?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Israeli alipowaona wana wa Yosefu, akamwuliza, “Ni akina nani hawa?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Israeli alipowaona wana wa Yusufu, akauliza, “Hawa ni nani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Wakati Israeli alipowaona wana wa Yusufu, akauliza, “Hawa ni nani?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Israeli akawaona wana wa Yusufu, akasema, Ni nani hawa?

Tazama sura Nakili




Mwanzo 48:8
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na macho ya Israeli yalikuwa mazito kwa uzee, wala hakuweza kuona vizuri. Akawaleta kwake, naye akawabusu, na kuwakumbatia.


Yusufu akamwambia babaye, Hawa ni wanangu, Mungu alionipa nikiwa hapa. Akasema, Tafadhali uwalete kwangu nami nitawabariki.


Mtafuteni BWANA, nanyi mtaishi; asije akawaka kama moto katika nyumba ya Yusufu, nao ukateketeza, asiwepo mtu awezaye kuuzima katika Betheli.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo