Mwanzo 48:6 - Swahili Revised Union Version6 Na wazao wako utakaozaa baada ya hawa watakuwa wako; kwa jina la ndugu zao wataitwa katika urithi wao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Lakini, watoto utakaopata baadaye watakuwa wako; kwa jina la ndugu zao wataitwa katika urithi wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Lakini, watoto utakaopata baadaye watakuwa wako; kwa jina la ndugu zao wataitwa katika urithi wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Lakini, watoto utakaopata baadaye watakuwa wako; kwa jina la ndugu zao wataitwa katika urithi wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Lakini watoto utakaowazaa baada yao watakuwa wako. Katika nchi watakayoirithi, watatambuliwa kwa jina la ndugu zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Lakini watoto utakaowazaa baada yao watakuwa wako. Katika nchi watakayoirithi, watatambuliwa kwa jina la ndugu zao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Na wazao wako utakaozaa baada ya hawa watakuwa wako; kwa jina la ndugu zao wataitwa katika urithi wao. Tazama sura |