Mwanzo 47:8 - Swahili Revised Union Version8 Farao akamwuliza Yakobo, Je! Siku za kuishi kwako ni ngapi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Farao akamwuliza Yakobo, “Umri wako ni miaka mingapi?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Farao akamwuliza Yakobo, “Umri wako ni miaka mingapi?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Farao akamwuliza Yakobo, “Umri wako ni miaka mingapi?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Farao akamuuliza, “Je, una umri gani?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Farao akamuuliza, “Je una umri gani?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Farao akamwuliza Yakobo, Je! Siku za kuishi kwako ni ngapi? Tazama sura |