Mwanzo 47:28 - Swahili Revised Union Version28 Yakobo akaishi katika nchi ya Misri miaka kumi na saba, basi umri wake Yakobo ulikuwa miaka mia moja na arubaini na saba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Yakobo alikaa katika nchi ya Misri kwa muda wa miaka kumi na saba, hadi alipofikia umri wa miaka 147. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Yakobo alikaa katika nchi ya Misri kwa muda wa miaka kumi na saba, hadi alipofikia umri wa miaka 147. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Yakobo alikaa katika nchi ya Misri kwa muda wa miaka kumi na saba, hadi alipofikia umri wa miaka 147. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Yakobo akaishi Misri miaka kumi na saba, nayo miaka ya maisha yake ilikuwa mia moja na arobaini na saba (147). Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Yakobo akaishi Misri miaka kumi na saba, nayo miaka ya maisha yake ilikuwa 147. Tazama sura |