Mwanzo 47:21 - Swahili Revised Union Version21 Akawahamisha hao watu, akawaweka katika miji, tangu upande huu wa Misri hata upande huu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 na Yosefu akawafanya watu kuwa watumwa, kutoka pembe moja hadi pembe nyingine ya nchi ya Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 na Yosefu akawafanya watu kuwa watumwa, kutoka pembe moja hadi pembe nyingine ya nchi ya Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 na Yosefu akawafanya watu kuwa watumwa, kutoka pembe moja hadi pembe nyingine ya nchi ya Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 naye Yusufu akawafanya watu watumike kama watumwa, kuanzia upande mmoja wa Misri hadi upande mwingine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 naye Yusufu akawafanya watu watumike kama watumwa, kuanzia upande mmoja wa Misri hadi upande mwingine. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Akawahamisha hao watu, akawaweka katika miji, tangu upande huu wa Misri hata upande huu. Tazama sura |