Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 47:16 - Swahili Revised Union Version

16 Yusufu akasema, Toeni wanyama wenu, nami nitawapa chakula badala ya wanyama wenu, kama fedha zenu zimekwisha.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Yosefu akawaambia, “Kama fedha yenu imekwisha, basi nipeni mifugo yenu, nami nitawapa nafaka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Yosefu akawaambia, “Kama fedha yenu imekwisha, basi nipeni mifugo yenu, nami nitawapa nafaka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Yosefu akawaambia, “Kama fedha yenu imekwisha, basi nipeni mifugo yenu, nami nitawapa nafaka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Yusufu akawaambia, “Basi leteni mifugo yenu. Nitawauzia chakula kwa kubadilisha na mifugo yenu, kwa kuwa fedha zenu zimekwisha.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Yusufu akawaambia, “Basi leteni mifugo yenu, nitawauzia chakula kwa kubadilisha na mifugo yenu, kwa kuwa fedha zenu zimekwisha.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

16 Yusufu akasema, Toeni wanyama wenu, nami nitawapa chakula badala ya wanyama wenu, kama fedha zenu zimekwisha.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 47:16
7 Marejeleo ya Msalaba  

Fedha zote zilipokwisha katika nchi ya Misri na katika nchi ya Kanaani, Wamisri wote walimjia Yusufu, wakisema, Tupe sisi chakula, kwa nini tufe mbele ya macho yako? Maana fedha zetu zimekwisha.


Wakaleta wanyama wao kwa Yusufu; Yusufu akawapa chakula kwa kubadilisha na farasi, kondoo, ng'ombe na punda, naye akawalisha chakula badala ya wanyama wao wote mwaka ule.


Atamkaye maneno ya kweli hufunua haki; Bali shahidi wa uongo hutamka hila.


Msiwakoseshe Wayahudi wala Wagiriki wala kanisa la Mungu,


Hatimaye, ndugu zangu, mambo yoyote yaliyo ya kweli, yoyote yaliyo ya heshima, yoyote yaliyo ya haki, yoyote yaliyo safi, yoyote yenye kupendeza, yoyote yenye sifa njema; ukiwapo wema wowote, ikiwapo sifa nzuri yoyote, yatafakarini hayo.


Nendeni kwa hekima mbele yao walio nje, mkiukomboa wakati.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo