Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 45:4 - Swahili Revised Union Version

4 Yusufu akawaambia ndugu zake, Karibuni kwangu; basi, wakakaribia. Akasema, Mimi ni Yusufu, ndugu yenu, ambaye mliniuza kwenda Misri.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Yosefu akawaambia ndugu zake, “Tafadhali, sogeeni karibu nami.” Walipomkaribia, akawaambia, “Mimi ndiye ndugu yenu Yosefu, mliyemwuza Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Yosefu akawaambia ndugu zake, “Tafadhali, sogeeni karibu nami.” Walipomkaribia, akawaambia, “Mimi ndiye ndugu yenu Yosefu, mliyemwuza Misri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Yosefu akawaambia ndugu zake, “Tafadhali, sogeeni karibu nami.” Walipomkaribia, akawaambia, “Mimi ndiye ndugu yenu Yosefu, mliyemwuza Misri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Ndipo Yusufu akawaambia ndugu zake, “Sogeeni karibu nami.” Waliposogea, akasema, “Mimi ni ndugu yenu Yusufu, yule ambaye mlimuuza Misri!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Ndipo Yusufu akawaambia ndugu zake, “Sogeeni karibu nami.” Waliposogea, akasema, “Mimi ni ndugu yenu Yusufu, yule ambaye mlimuuza Misri!

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 Yusufu akawaambia ndugu zake, Karibuni kwangu; basi, wakakaribia. Akasema, Mimi ni Yusufu, ndugu yenu, ambaye mliniuza kwenda Misri.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 45:4
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wakapita wafanya biashara Wamidiani; basi wakamtoa Yusufu, wakampandisha kumtoa katika shimo, wakamuuza Yusufu kwa Waishmaeli kwa vipande vya fedha ishirini; nao wakamchukua Yusufu mpaka Misri.

Ndugu zake wakaenda tena, wakamwangukia miguu, wakasema, Tazama, sisi tu watumishi wako.

Mara Yesu alinena, akawaambia, Jipeni moyo, ni mimi; msiogope.

Wale wazee wetu wakimwonea wivu Yusufu, wakamwuza aende Misri. Mungu akawa pamoja naye,

Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayemtesa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo