Mwanzo 45:25 - Swahili Revised Union Version25 Wakatoka Misri, wakafika nchi ya Kanaani kwa Yakobo, baba yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Basi, wakatoka Misri na kurudi nyumbani kwa baba yao Yakobo, nchini Kanaani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Basi, wakatoka Misri na kurudi nyumbani kwa baba yao Yakobo, nchini Kanaani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Basi, wakatoka Misri na kurudi nyumbani kwa baba yao Yakobo, nchini Kanaani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Basi wakatoka Misri na kufika kwa baba yao Yakobo katika nchi ya Kanaani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Basi wakatoka Misri na kufika kwa baba yao Yakobo katika nchi ya Kanaani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Wakatoka Misri, wakafika nchi ya Kanaani kwa Yakobo, baba yao. Tazama sura |