Mwanzo 45:10 - Swahili Revised Union Version10 Nawe utakaa katika nchi ya Gosheni, utakuwa karibu nami, wewe, na wanao, na wana wa wanao, na wanyama wako, ng'ombe wako, na yote uliyo nayo. Nami nitakulisha huko; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Utakaa karibu nami katika eneo la Gosheni: Wewe, wana wako na wajukuu wako, mifugo yako na mali yako yote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Utakaa karibu nami katika eneo la Gosheni: Wewe, wana wako na wajukuu wako, mifugo yako na mali yako yote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Utakaa karibu nami katika eneo la Gosheni: wewe, wana wako na wajukuu wako, mifugo yako na mali yako yote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Nawe utaishi katika nchi ya Gosheni na kuwa karibu nami: wewe, watoto wako na wajukuu wako, makundi yako ya kondoo, mbuzi na ng’ombe, pamoja na vyote ulivyo navyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Nawe utaishi katika nchi ya Gosheni na kuwa karibu nami, wewe, watoto wako na wajukuu wako, makundi yako ya kondoo, mbuzi na ng’ombe, pamoja na vyote ulivyo navyo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Nawe utakaa katika nchi ya Gosheni, utakuwa karibu nami, wewe, na wanao, na wana wa wanao, na wanyama wako, ng'ombe wako, na yote uliyo nayo. Nami nitakulisha huko; Tazama sura |