Mwanzo 44:7 - Swahili Revised Union Version7 Wakamwambia, Kwa nini bwana wangu anasema maneno kama haya? Hasha! Watumwa wako wasifanye hivi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Lakini wao wakamwuliza, “Bwana, una maana gani kutuambia maneno kama hayo? Sisi watumishi wako kamwe hatuwezi kufanya jambo kama hilo! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Lakini wao wakamwuliza, “Bwana, una maana gani kutuambia maneno kama hayo? Sisi watumishi wako kamwe hatuwezi kufanya jambo kama hilo! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Lakini wao wakamwuliza, “Bwana, una maana gani kutuambia maneno kama hayo? Sisi watumishi wako kamwe hatuwezi kufanya jambo kama hilo! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Lakini wakamwambia mtumishi, “Kwa nini bwana wangu anasema maneno kama haya? Liwe mbali na watumishi wako kufanya jambo kama hilo! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Lakini wakamwambia mtumishi, “Kwa nini bwana wangu anasema maneno kama haya? Liwe mbali na watumishi wako wasije wakafanya jambo kama hilo! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Wakamwambia, Kwa nini bwana wangu anasema maneno kama haya? Hasha! Watumwa wako wasifanye hivi. Tazama sura |