Mwanzo 44:24 - Swahili Revised Union Version24 Ikawa tulipokwenda kwa mtumwa wako, baba yangu, tukamwarifu maneno yako, bwana wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 “Tuliporudi nyumbani kwa mtumishi wako, baba yetu, tulimwarifu ulivyotuagiza, bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 “Tuliporudi nyumbani kwa mtumishi wako, baba yetu, tulimwarifu ulivyotuagiza, bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 “Tuliporudi nyumbani kwa mtumishi wako, baba yetu, tulimwarifu ulivyotuagiza, bwana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Tuliporudi kwa mtumwa wako baba yangu, tulimwambia lile bwana wangu alilokuwa amesema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Tuliporudi nyumbani kwa mtumwa wako baba yangu, tulimwambia lile bwana wangu alilokuwa amesema. Tazama sura |