Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 44:14 - Swahili Revised Union Version

14 Akaja Yuda na ndugu zake nyumbani kwa Yusufu, naye mwenyewe alikuwamo, nao wakamwangukia kifudifudi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Yuda na nduguze wakafika nyumbani kwa Yosefu naye Yosefu alikuwapo bado nyumbani. Basi, wakamwinamia kwa heshima,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Yuda na nduguze wakafika nyumbani kwa Yosefu naye Yosefu alikuwapo bado nyumbani. Basi, wakamwinamia kwa heshima,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Yuda na nduguze wakafika nyumbani kwa Yosefu naye Yosefu alikuwapo bado nyumbani. Basi, wakamwinamia kwa heshima,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Yusufu alikuwa bado yuko nyumbani mwake Yuda na ndugu zake walipoingia. Wote wakajitupa chini mbele yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Yusufu alikuwa bado yuko nyumbani mwake wakati Yuda na kaka zake walipoingia, wote wakajitupa chini mbele yake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

14 Akaja Yuda na ndugu zake nyumbani kwa Yusufu, naye mwenyewe alikuwamo, nao wakamwangukia kifudifudi.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 44:14
5 Marejeleo ya Msalaba  

Naye Yusufu alipomwona Benyamini pamoja nao, akamwambia msimamizi wa nyumba yake, Uwalete watu hawa nyumbani, ukachinje mnyama na kuwaandalia, maana watu hawa watakula pamoja nami adhuhuri.

Wakaiweka tayari ile zawadi hadi atakapokuja Yusufu adhuhuri, maana wamesikia ya kwamba watakula chakula huko.

Ndugu zake wakaenda tena, wakamwangukia miguu, wakasema, Tazama, sisi tu watumishi wako.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo