Mwanzo 40:4 - Swahili Revised Union Version4 Mkuu wa askari akamwekea Yusufu watu hao, naye akawahudumia, nao wakakaa siku kadhaa katika kifungo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mkuu wa kikosi cha ulinzi akamteua Yosefu awatumikie. Nao wakawa kifungoni kwa muda fulani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mkuu wa kikosi cha ulinzi akamteua Yosefu awatumikie. Nao wakawa kifungoni kwa muda fulani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mkuu wa kikosi cha ulinzi akamteua Yosefu awatumikie. Nao wakawa kifungoni kwa muda fulani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mkuu wa walinzi akawakabidhi kwa Yusufu, naye akawahudumia. Walipokuwa wamekaa chini ya ulinzi kwa muda, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mkuu wa kikosi cha ulinzi akawakabidhi kwa Yusufu, naye akawahudumia. Walipokuwa wamekaa chini ya ulinzi kwa muda, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Mkuu wa askari akamwekea Yusufu watu hao, naye akawahudumia, nao wakakaa siku kadhaa katika kifungo. Tazama sura |