Mwanzo 4:3 - Swahili Revised Union Version3 Ikawa hatimaye Kaini akaleta mazao ya ardhi, sadaka kwa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Baada ya muda fulani, Kaini alimtolea Mwenyezi-Mungu sadaka kutokana na mazao ya shambani, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Baada ya muda fulani, Kaini alimtolea Mwenyezi-Mungu sadaka kutokana na mazao ya shambani, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Baada ya muda fulani, Kaini alimtolea Mwenyezi-Mungu sadaka kutokana na mazao ya shambani, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Baada ya muda, Kaini akaleta baadhi ya mazao ya shamba ikiwa sadaka kwa Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Baada ya muda Kaini akaleta baadhi ya mazao ya shamba kama sadaka kwa bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Ikawa hatimaye Kaini akaleta mazao ya ardhi, sadaka kwa BWANA. Tazama sura |