Mwanzo 38:30 - Swahili Revised Union Version30 Akatoka ndugu yake baadaye, ana uzi mwekundu mkononi mwake; naye akaitwa jina lake Zera. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Baadaye ndugu yake akazaliwa akiwa na ule uzi mwekundu mkononi, naye akaitwa Zera. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Baadaye ndugu yake akazaliwa akiwa na ule uzi mwekundu mkononi, naye akaitwa Zera. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Baadaye ndugu yake akazaliwa akiwa na ule uzi mwekundu mkononi, naye akaitwa Zera. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Kisha ndugu yake, aliyekuwa na uzi mwekundu mkononi, akatoka, naye akaitwa Zera. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Kisha ndugu yake, aliyekuwa na uzi mwekundu mkononi, akatoka, naye akaitwa Zera. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI30 Akatoka ndugu yake baadaye, ana uzi mwekundu mkononi mwake; naye akaitwa jina lake Zera. Tazama sura |