Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 38:10 - Swahili Revised Union Version

10 Jambo hili alilolifanya likawa baya machoni pa BWANA, basi akamwua yeye pia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Alichofanya kilikuwa kiovu machoni pa Mwenyezi Mungu, hivyo Mwenyezi Mungu akamuua Onani pia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Alichofanya kilikuwa kiovu machoni pa bwana, hivyo, pia bwana akamuua Onani.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Jambo hili alilolifanya likawa baya machoni pa BWANA, basi akamwua yeye pia.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 38:10
13 Marejeleo ya Msalaba  

Na wana wa Yuda; Eri, na Onani, na Shela, na Peresi, na Zera; lakini Eri na Onani walikufa katika nchi ya Kanaani. Na wana wa Peresi, ni Hesroni, na Hamuli.


Hata maombolezo hayo yalipokwisha, Daudi akatuma mtu, akamtwaa, akamtia nyumbani mwake; naye akawa mkewe, akamzalia mtoto wa kiume. Lakini jambo lile alilolitenda Daudi likamchukiza BWANA.


Akamwomba BWANA, akanena, Ee BWANA, Mungu wangu, je! Umemtenda mabaya mjane huyu ninayekaa kwake hata kumwua mwanawe?


Wana wa Yuda; Eri, na Onani, na Shela; ambao hao watatu alizaliwa na binti Shua, Mkanaani. Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa BWANA; naye akamwua.


Neno hilo likawa baya machoni pa Mungu; kwa hiyo akawapiga Israeli.


Mtu mbaya husukumwa chini katika kutenda mabaya kwake; Bali mwenye haki ana matumaini katika kufa kwake.


BWANA asije akaliona hilo, likamkasirisha; Akageuzia mbali naye hasira yake.


Tena nilituma kwenu watumishi wangu wote, manabii, nikiamka mapema na kuwatuma, nikisema, Basi ninyi; msilifanye chukizo hili linalochukiza.


Ndipo Hagai mjumbe wa BWANA, katika ujumbe wa BWANA, akawaambia watu ujumbe wa BWANA, akisema, Mimi nipo pamoja nanyi, asema BWANA.


Kisha hao watu walikuwa kama wanung'unikao, wakinena maovu masikioni mwa BWANA; BWANA aliposikia hayo, hasira zake zikawaka; na moto wa BWANA ukawaka kati yao, ukateketeza hadi viunga vya kambi.


Balaamu akamwambia malaika wa BWANA, Nimefanya dhambi; maana sikujua ya kuwa wewe umesimama njiani ili kunipinga; basi sasa, ikiwa umechukizwa, nitarudi tena.


Na wana wa Yuda, Eri na Onani; na hao Eri na Onani wakafa katika nchi ya Kanaani.


Mtu mmoja akimkosea mwenzake, Mungu atamhukumu; lakini mtu akimkosea BWANA, ni nani atakayemtetea? Lakini hawakuisikia sauti ya baba yao, kwa sababu BWANA amekusudia kuwaua.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo