Mwanzo 37:5 - Swahili Revised Union Version5 Yusufu akaota ndoto, akawapa ndugu zake habari, nao wakazidi kumchukia; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Usiku mmoja, Yosefu aliota ndoto, lakini alipowasimulia ndugu zake, wao wakazidi kumchukia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Usiku mmoja, Yosefu aliota ndoto, lakini alipowasimulia ndugu zake, wao wakazidi kumchukia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Usiku mmoja, Yosefu aliota ndoto, lakini alipowasimulia ndugu zake, wao wakazidi kumchukia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Yusufu akaota ndoto, naye alipowaeleza ndugu zake, wakamchukia zaidi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Yusufu akaota ndoto, naye alipowaeleza ndugu zake, wakamchukia zaidi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Yusufu akaota ndoto, akawapa ndugu zake habari, nao wakazidi kumchukia; Tazama sura |