Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 37:23 - Swahili Revised Union Version

23 Ikawa Yusufu alipofika kwa ndugu zake, wakamvua Yusufu kanzu yake, kanzu ile ndefu aliyoivaa,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Yosefu alipowafikia ndugu zake, wao wakamvua kanzu yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Yosefu alipowafikia ndugu zake, wao wakamvua kanzu yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Yosefu alipowafikia ndugu zake, wao wakamvua kanzu yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Kwa hiyo Yusufu alipowafikia ndugu zake, walimvua lile joho lake, lile joho lililofumwa vizuri alilokuwa amevaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Kwa hiyo Yusufu alipowafikia ndugu zake, walimvua lile joho lake, lile joho lililorembwa vizuri alilokuwa amevaa.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 37:23
8 Marejeleo ya Msalaba  

Reubeni akawaambia, Msimwage damu; mtupeni katika shimo hili lililopo nyikani, wala msimguse; ili apate kumwokoa katika mikono yao, akamrudishe kwa baba yake.


wakamtwaa wakamtupa katika shimo; na hilo shimo ilikuwa tupu, hamna maji.


Basi Israeli akampenda Yusufu kuliko wanawe wote, maana ni mwana wa uzee wake, akamfanyia kanzu ndefu.


Wakaambiana, Kweli sisi tulimkosea ndugu yetu, kwa kuwa tuliona shida ya roho yake, alipotusihi, wala hatukusikia, kwa hiyo shida hii imetupata.


Naye alikuwa amevaa kanzu ndefu; kwa kuwa kwa nguo hizo huvikwa binti za mfalme waliokuwa wanawali. Ndipo mtumishi wake akamtoa nje, akafunga mlango nyuma yake.


Wanagawanya nguo zangu, Na vazi langu wanalipigia kura.


Wakamvua nguo, wakamvika vazi jekundu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo