Mwanzo 37:21 - Swahili Revised Union Version21 Reubeni akasikia akamwokoa katika mikono yao, akasema, Tusimwue. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Lakini Reubeni aliposikia maneno hayo, akataka kumwokoa mikononi mwao; basi akawaambia ndugu zake, “Tafadhali, tusimuue. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Lakini Reubeni aliposikia maneno hayo, akataka kumwokoa mikononi mwao; basi akawaambia ndugu zake, “Tafadhali, tusimuue. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Lakini Reubeni aliposikia maneno hayo, akataka kumwokoa mikononi mwao; basi akawaambia ndugu zake, “Tafadhali, tusimuue. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Reubeni aliposikia jambo hili, akajaribu kumwokoa kutoka mikononi mwao, akasema, “Tusimuue. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Reubeni aliposikia jambo hili, akajaribu kumwokoa kutoka mikononi mwao akasema, “Tusiutoe uhai wake. Tazama sura |