Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 36:40 - Swahili Revised Union Version

40 Na hayo ndiyo majina ya majumbe waliotoka kwa Esau, kufuata jamaa zao, na mahali pao, kwa majina yao. Jumbe Timna, jumbe Alva, jumbe Yethethi,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Wakuu wa makabila yaliyotokana na Esau, kadiri ya makabila yao na makazi yao walikuwa: Timna, Alva, Yethethi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Wakuu wa makabila yaliyotokana na Esau, kadiri ya makabila yao na makazi yao walikuwa: Timna, Alva, Yethethi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Wakuu wa makabila yaliyotokana na Esau, kadiri ya makabila yao na makazi yao walikuwa: Timna, Alva, Yethethi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Hawa ndio wakuu waliotokana na Esau, kwa majina, kufuatana na koo zao na nchi zao: Timna, Alva, Yethethi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Hawa ndio wakuu waliotokana na Esau, kwa majina, kufuatana na koo zao na nchi zao: Timna, Alva, Yethethi,

Tazama sura Nakili

Mwanzo 36:40
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na hawa ndio wafalme waliomiliki katika nchi ya Edomu, kabla ya kumiliki mfalme yeyote juu ya wana wa Israeli.

Akafa Baal-hanani, mwana wa Akbori, akamiliki Hadadi badala yake; na jina la mji wake ni Pau; na jina la mkewe ni Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.

jumbe Oholibama, jumbe Ela, jumbe Pinoni,

Ndipo majumbe wa Edomu wakashangaa, Watu wa Moabu wenye nguvu tetemeko limewapata, Watu wote wakaao Kanaani wameyeyuka.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo