Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 36:25 - Swahili Revised Union Version

25 Na hawa ni wana wa Ana, Dishoni, na Oholibama, binti Ana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Watoto wa Ana walikuwa Dishoni na dada yake mmoja aitwaye Oholibama.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Watoto wa Ana walikuwa Dishoni na dada yake mmoja aitwaye Oholibama.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Watoto wa Ana walikuwa Dishoni na dada yake mmoja aitwaye Oholibama.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Watoto wa Ana walikuwa: Dishoni na Oholibama binti Ana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Watoto wa Ana walikuwa: Dishoni na Oholibama binti wa Ana.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 36:25
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na hawa ni wana wa Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, mkewe Esau; akamzalia Esau, Yeushi, na Yalamu, na Kora.


Na hawa ni wana wa Oholibama, mkewe Esau; jumbe Yeushi, jumbe Yalamu, jumbe Kora. Hao ndio majumbe waliotoka kwa Oholibama, binti Ana, mkewe Esau.


Esau alitwaa binti za Kanaani, kuwa wakeze; Ada, binti Eloni, Mhiti, na Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi;


Na hawa ni wana wa Sibeoni, Aya, na Ana; ni yule Ana aliyeona chemchemi za maji ya moto katika jangwa, alipokuwa akichunga punda za Sibeoni babaye.


Na hawa ni wana wa Dishoni, Hemdani, na Eshbani, na Ithrani, na Kerani.


Oholibama alizaa Yeushi, na Yalamu, na Kora. Hao ndio wana wa Esau aliozaliwa katika nchi ya Kanaani.


Wana wa Ana; Dishoni. Na wana wa Dishoni; Hemdani, na Eshbani, na Ithrani, na Kerani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo